LIVE STREAM ADS

Header Ads

MGOMBEA UBUNGE WA ACT WAZALENDO JIMBO LA ILEMELA AENDELEA KUSONGA MBELE.

Mgombea Ubunge wa Chama cha Alliance For Change and Transparency ACT Wazalendo katika Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza Mkiwa Adam Kimwanga akijinadi kwa Wananchi wa Kata ya Nyamanoro Jimboni humo kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Uwanja wa Soko la Kwa Msuka.

Katika Mkutano huo, Kimwanga ameomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo hilo ambapo ameahidi kuwa atahakikisha anasimamia vyema vipaumbele vyake ambavyo ni Elimu, Afya pamoja na kuwawezesha wanawake na vijana ili kujikomboa kiuchumi.
Na:Binagi Media Group
Mgombea Ubunge wa Chama cha Alliance For Change and Transparency ACT Wazalendo katika Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza Mkiwa Adam Kimwanga (Kushoto) akiwa pamoja na Meneja Kampeni wake Pendo Ojijo (Kulia)
Mgombea Ubunge wa Chama cha Alliance For Change and Transparency ACT Wazalendo katika Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza Mkiwa Adam Kimwanga akiwahutubia jana wakazi wa Kata ya Nyamanoro Jimboni humo.
Wakazi wa Kata ya Nyamanoro Wilayani Ilemela Wakimsikiliza  Mgombea Ubunge wa Chama cha Alliance For Change and Transparency ACT Wazalendo katika Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza Mkiwa Adam Kimwanga
Mwenyekiti wa ADC Wazalendo Mutwalib Ismael Daud (Mwenye Kinasa Sauti)akiwaombea Kura wagombea wa ACT Wazalendo katika Mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Kata ya Nyamanoro Jimboni Ilemela
Aliekuwa Mkurugenzi wa Mipango na Uchaguzi wa Chama cha Wananchi CUF Wilayani Ilemela ambae kwa sasa ni Mratibu wa Kampeni za ACT Wazalendo katika jimbo hilo Gidion Lalama akiwaombea Kura wagombea wa chama hicho katika Mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Kata ya Nyamanoro Jimboni Ilemela
Katibu ngome ya Wazee wa ACT Wazalendo Taifa Wilson Mshumbuzi akiwaombea Kura wagombea wa chama hicho katika Mkutano wa hadhara uliofanyika jana katika Kata ya Nyamanoro Jimboni Ilemela
Viongozi wa ACT Wazalendo Wilayani Ilemela
Wakazi wa Kata ya Nyamanoro Wilayani Ilemela Wakimsikiliza  Mgombea Ubunge wa Chama cha Alliance For Change and Transparency ACT Wazalendo katika Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza Mkiwa Adam Kimwanga
Wakazi wa Kata ya Nyamanoro Wilayani Ilemela Wakimsikiliza  Mgombea Ubunge wa Chama cha Alliance For Change and Transparency ACT Wazalendo katika Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza Mkiwa Adam Kimwanga
Wakazi wa Kata ya Nyamanoro Wilayani Ilemela Wakimsikiliza  Mgombea Ubunge wa Chama cha Alliance For Change and Transparency ACT Wazalendo katika Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza Mkiwa Adam Kimwanga
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII

No comments:

Powered by Blogger.