LIVE STREAM ADS

Header Ads

MWANZA WAPANIA SHOW YA "CHRISTIAN BELLA" NA BAND YAKE YA "MALAIKA BAND" NDANI YA MAMIZ GRAND RESORT.

Mwanza Wamepandia kushuhudia Show ya Christian Bella pamoja na Band yake ya Malaika Band itakayodondoshwa jumamosi ya Tarehe 12.09.2015 katika Kiwanja cha Wastaarabu kiitwacho MAMIZ GRAND RESORT Mkolani ambapo siku hiyo ngoma mpya ya Bella AMERUDI itazinduliwa rasmi.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA Bonyeza HAPA Kupata Maelezo Kamili

No comments:

Powered by Blogger.