LIVE STREAM ADS

Header Ads

NAY WA MITEGO NA KALA JEREMIAH WAPAGAWISHA MKUTANO WA UKAWA JIJINI MWANZA.

Msanii wa Bongo Fleva Nay wa Mitego akitumbuiza jukwaani katika Mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo chini ya Mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA uliofanyika jana katika Uwanja wa Mbugani Jijini Mwanza ambapo ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo mgombea Ubunge wa Chama hicho Ezekiel Dibogo Wenje.

Mkutano huo ulikuwa mahususi kwa ajili ya wasanii wanaomuunga Mkono Mgombea Urais kupitia Ukawa Mh.Edward Ngoyai Lowasa.
Picha na Robert Kasamwa
Msanii wa Bongo Fleva Nay wa Mitego akiwa jukwaani katika Mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo chini ya Mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA uliofanyika jana katika Uwanja wa Mbugani Jijini Mwanza
Msanii wa Bongo Fleva Kala Jeremiah akitumbuiza jukwaani katika Mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo chini ya Mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA uliofanyika jana katika Uwanja wa Mbugani Jijini Mwanza
Mgombea Ubunge kupitia CHADEMA katika Jimbo la Nyamagana Ezekiel Wenje (Katikati) akiwa pamoja na Viongozi wengine wa Chama
Kushoto ni Wapiga picha wa BMG wakiwa pamoja na mgombea ubunge wa Jimbo la Nyamagana Ezekiel Wenje (Chadema)
Team Mabadiliko (Wasanii mbalimbali)
Wakazi wa Jiji la Mwanza wakiwa katika Mkutano wa UKAWA uliofanyika uwanja wa Mbugani jana
Wasanii mbalimbali waliokuwepo katika Mkutano huo ni pamoja na Bob Junior, Timbulo, Shamsa, Soggy Doggy, Rado, Roma na wengineo.

Mkutano huo ulikuwa mahususi kwa ajili ya wasanii wanaomuunga Mkono Mgombea Urais kupitia Ukawa Mh.Edward Ngoyai Lowasa.
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII

No comments:

Powered by Blogger.