LIVE STREAM ADS

Header Ads

NGOMA MPYA: NYASA BOY, D'MALADHA NA DOGO D-KALUNDE

Msanii Nyasa Boy kutoka Rock City Mwanza
Na:Binagi Media Group
Muziki Mzuri ni kwa ajili ya watu wazuri. Pata time ya Kusikiliza ngoma yake Nyasa Boy kutoka Mwanza. Ngoma inaitwa Kalunde. 

Katika ngoma hiyo Wasanii D'Maladha pamoja na Dogo D kutoka Mwanza wameshirikishwa.
Bonyeza Play Hapa Chini Kuicheck Ngoma hiyo
Binagi Media Group, Kwa Pamoja Tuijuze Jamii

No comments:

Powered by Blogger.