LIVE STREAM ADS

Header Ads

ESTHER MATIKO AZIDI KULITEKA JIMBO LA TARIME MJINI.

Mgombea Ubunge Jimbo la Tarime Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema chini ya Mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Esther Nicolaus Matiko akiwahutubia wakazi wa Kata ya Turwa Jimboni humo jana.
Na:Binagi Media Group
Matiko ameendelea kuwa na mvuto kwa wananchi jambo ambalo linaleta ushindani mkubwa wa kisiasa baina yake na mpinzani wake kutoka Chama cha Mapinduzi CCM Michael Kembaki.
Kushoto ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Tarime Lucas Ngoto akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Tarime Mjini kupitia Chadema Esther Nicolaus Matiko.
Binagi Media Group, Kwa Pamoja Tuijuze Jamii

No comments:

Powered by Blogger.