KARIBUNI GREEN HILL SCHOOLS KWA ELIMU BORA. TAZAMA MANDHARI YAKE YANAVYOVUTIA.
Green Hill Schools ni shule za Msingi na Sekondari zinazopatikana Pugu Kajiungeni, Manispaa ya Ilala Jijini Dar es salaam.
Kumbuka Green Hill ni shule ya Msingi ya kutwa na bweni na Main Green Hill ni Shule ya Sekondari ya bweni. Shule zote zina mandhari safi na bora na humuwezesha mwanafunzi kujisomea vyema.
Kwa muda mrefu wanafunzi wanaohitimu katika shule hizo wamekuwa wakifaulu katika Ufaulu wa hali ya juu.
BONYEZA HAPA KUJUA ZAIDI AU PIGA SIMU NAMBARI +255 754 806 640, +255 714 202 201
Green Gill Schools kuna madarasa ya kutosha na yenye Ubora mzuri
Green Hill Schools
Green Hill Schools
Green Hill Schools
Green Hill Schools
Green Hill Schools
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII
No comments: