LIVE STREAM ADS

Header Ads

SIKILIZA KIPINDI CHA "JUKWAA LANGU" SEPTEMBA 28,2015.

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU ambapo hujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015.

Hiki ni kipindi kilichosikika Septemba 28, 2015 Kutoka Tanzania tuliungana na Liberatus Mwang'ombe. Mgombea ubunge jimbo la Mbarali kwa tiketi ya CHADEMA.

Studioni alikuwepo Dj Luke Joe, na kwa njia ya simu tukaungana na wasikilizaji wengi ndani na nje ya Marekani
KARIBU

No comments:

Powered by Blogger.