LIVE STREAM ADS

Header Ads

VIJANA KUMBUKA MABADILIKO YA KWELI NI YALE YANAYOPATIKANA KWA AMANI.

"Piga Kura, Epuka Kula ili Tuwachague Viongozi Bora na Siyo Bora Viongozi  kwa ajili ya Mabadiliko ya Taifa letu. Vijana Kumbuka Mabadiliko ni yale yanayopatikana kwa Amani". Anasema Getruda Leonard Makeja (Pichani) ambae ni Afisa Mikopo kutoka Taasisi ya Mikopo nchini ya Take and Back Finance Institution.

Kujua zaidi kuhusu Kampeni ya Piga Kura, Epuka Kula Bonyeza HAPA
Binagi Media Group, Kwa Pamoja Tuijuze Jamii

No comments:

Powered by Blogger.