LIVE STREAM ADS

Header Ads

MPC YAPATA UONGOZI MPYA.

Chama Waandishi wa Habari Mkoani Mwanza (Mwanza Press Club-MPC) Kimepata uongozi mpya utakaokuwa Madarakani kwa kipindi cha Miaka Mitatu ijayo. 
Pichani ni Viongozi Waliochaguliwa kupitia Mkutano Mkuu wa Mwaka 2014 wa Chama hicho uliofanyika jana katika Ukumbu wa Halmashauri ya Jiji Mwanza.
Na:Binagi Media Group
Waliochaguliwa kuiongoza MPC kwa Miaka mitatu ijayo ni Mwenyekiti Osoro Nyawangah, Makamu Mwenyekiti Neema Emmanueli, Katibu Mkuu Calvin Jilala, Katibu Mkuu Msaidizi Magreth Kusekwa, Mweka Hazina Paulina David na Wajumbe wa Kamati Tendaji ni Neema Mwita, Mathar Lume, Antony Gervas, George Boniphace, Philimon Malili pamoja na Suleiman Shagata.
Mwenyekiti Mpya wa Mwanza Press Club Osoro Nyawangah akizungumza baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa MPC.
 Kutoka Kushoto ni Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa MPC Flora Magabe, Mwenyekiti Mpya wa MPC Osoro Nyawangah na Katibu Mkuu wa mpya wa MPC Jilala Calvin
Uongozi Mpya wa MPC chini ya Mwenyekiti Osoro Nyawangah
Hawa ndio walikuwa wasimamizi wa Uchaguzi. Kushoto ni Flora Magabe na Kulia ni Nathan Lwehabura. Wote wamewahi kuitumikia MPC katika nafasi ya Ukamu Mwenyekiti kwa vipindi tofauti.
Kura zikihesabiwa ambapo Kushoto ni Mratibu wa MPC Edwin Soko na Kulia ni mmoja wa Wanachama wa MPC Shija Marando
Wanachama wa MPC wakiteta jambo na Philimon Malili (Wa kwana kushoto) ambae alichaguliwa kuwa Mmoja kati ya Wajumbe watano wa Kamati tendaji ya MPC
Kulia ni Mweka Hazina wa MPC Paulina David akiteta na Katibu Mkuu wa MPC Calvin Jilala (katikati)
Beatric Rabach ambae ni mmoja wa Wanachama wa MPC
Chakula Kitamu Mwanza nzima kutoka kwa Mama Ruziga 0755 808015

BONYEZA HAPA KUJUA ZAIDI
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII 

No comments:

Powered by Blogger.