WENJE AJIVUNIA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE. AOMBA RIDHAA KWA MARA NYINGINE.
Chama
cha Demokrasia na Maendeleo Chadema juzi ijumaa kilizindua rasmi kampeni zake za Uchaguzi
Mkuu katika Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza ambapo mgombea Ubunge wa Jimbo
hilo Ezekiel Wenje amewaomba wananchi kumpatia ridhaa kwa mara nyingine ili
kuwa mwakilishi wao mbungeni.
SIKILIZA HABARI KAMILI HAPA CHINI
Bonyeza HAPA Kuona Picha za Uzinduzi huo
No comments: