HAPPY BIRTH DAY NATTY E BRANDY WA 93.7 JEMBE FM MWANZA.
Anafahamika kwa Jina la Edna Elisha a.k.a Natty E Brandy ambae ni mmoja wa Wasanii wa Kike wanaofanya vyema katika Muziki wa Kip Hop akiwa pia mtangazaji wa Radio maarufu Jijini Mwanza iitwayo Jembe Fm akiwa ni binti mwenye kipaji cha hali ya juu cha utangazaji. Octoba 27 Miaka kadhaa iliyopita alizaliwa hivyo hii leo anatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake.
BINAGI MEDIA GROUP INAKUTAKIA MAISHA MEMA
No comments: