SIKILIZA MAHOJIANO NA WAASISI WA KUNDI LA MUZIKI LA JABALI AFRIKA KUTOKA NCHINI KENYA.
Wasanii wawili kati ya waanzilishi wa kundi la Muziki la JABALI AFRIKA, Justo Asikoye na Joseck Asikoye walipata fursa ya kutembelea Kilimanjaro Studio zilizopo Beltsville Maryland nchini Marekani na kuzungumza na Mubelwa Bandio na Dj Luke Joe kuhusu kazi zao.
Ilikuwa ni katika kipindi cha MISHUMAA YA KALE kinachosikika kila Ijumaa kuanzia saa 11 jioni kwa saa za Marekani ya Mashariki, karibuni kusikiliza.
Ilikuwa ni katika kipindi cha MISHUMAA YA KALE kinachosikika kila Ijumaa kuanzia saa 11 jioni kwa saa za Marekani ya Mashariki, karibuni kusikiliza.
No comments: