LIVE STREAM ADS

Header Ads

HABARI PICHA: MAHAFALI YA TATU YA CHUO KIKUU CHA MOUNT MERU TAWI LA MWANZA YAFANYA.

Prof.Harrison Olang ambae ni Makamu Mkuu wa Chuo cha Mount Meru akizungumza katika Mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu cha Mount Meru tawi la Mwanza yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Baptist Kona ya Bwilu Jijini Mwanza.
Na:George Binagi-GB Pazzo
Mgeni Rasmi Meneja wa Bank ya NBC Tawi la Nyanza Jijini Mwanza akizungumza katika Mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu cha Mount Meru Tawi la Mwanza yaliyofanyika hii leo katika Uwanja wa Baptist Kona ya Bwilu Jijini Mwanza.
Mkuu wa Idara ya Ualimu Emmanuel Haule akisoma majina ya wahitimu (Hawako pichani) kwa ajili ya kutunukiwa vyeti vya kuhitimu
Mshereshaji Denis Ngalula akiendelea na majukumu yake
Kutoka Kulia ni Dr.Simon Kabigumila Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mount Meru, Mgeni Rasmi Meneja wa Bank ya NBC Tawi la Nyanza Jijini Mwanza, Prof.Harrison Olang Makamu Mkuu wa Chuo cha Mount Meru, Silvanus Cheyo ambae ni Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo na Silas Noah Bwire ambae ni Mkurugenzi wa Mount Meru tawi la Mwanza.

Zawadi ya Chuo kwa Mgeni Rasmi kutoka 
Wahitimu wakiwa katika picha ya pomoja na Mgeni rasmi pamoja na uongozi wa Chuo

Wahitimu wa Chuo cha Mount Meru tawi la Mwanza wakiwa katika picha ya pomoja ya kupokea vyeti kwenye Mahafali ya tatu ya chuo hicho yaliyofanyika hii leo katika Uwanja wa Baptist Kona ya Bwilu Jijini Mwanza

Mmoja wa wahitimu wa Chuo cha Mount Meru tawi la Mwanza akipongezwa na Mgeni Rasmi
Mmoja wa wahitimu akipongezwa
Mmoja wa Wahitimu akipongezwa
Wazazi na Walezi wa Wahitimu
Kwaya ikitumbuiza katika Mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu cha Mount Meru Tawi la Mwanza yaliyofanyika hii leo katika Uwanja wa Baptist, Kona ya Bwilu Jijini Mwanza

No comments:

Powered by Blogger.