LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAKALA YA "MWANAWAKE NA UONGOZI" YAITOA JAMII GIZANI.

Na:George Binagi-GB Pazzo
Takwimu zinaonyesha kuwa bado idadi ya Wanawake wanaowania nafasi za Uongozi nchini Tanzania, ni finyu ikilinganishwa na idadi ya Wanaume.

Lakini bado katika baadhi ya maeneo nchini, kuna imani potofu juu ya kuongozwa na kiongozi mwanamke. 

Wakati hali iko hivyo, baadhi ya watu wanasema kuwa mwanamke ni mwadilifu sana katika utendaji wake wa kazi ikilinganishwa na mwanamme.

Sikiliza Makala ya "Mwanamke na Uongozi" ambayo imelenga kuifungua jamii nchini ili kutambua ya kwamba, wote (mwanamke na mwanamme) wana haki sawa ya kiuongozi hivyo jamii iwaamini na kuwapa nafasi ya kuwania fursa mbalimbali za uongozi.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA 

No comments:

Powered by Blogger.