LIVE STREAM ADS

Header Ads

MISA YA MAREHEMU MAMA GREN JUDICA MOSHI YAFANYIKA WASHINGTON DC NCHINI MAREKANI.

Ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali, juzi (Novemba mosi 2015) walijumuika na wanafamilia katika misa na kusherehekea maisha ya Mama Gren Judica Moshi iliyofanyika hapa Washington DC nchini Marekani.
Watoto wawili wa Marehemu Donald na James Moshi, na ndugu wengine, waliungana kwa misa hiyo iliyofanyika alasiri na kufatiwa na chakula cha pamoja

Mchungaji kiongozi wa Kanisa la The Way of the Cross Gospel Ministries Ferdnand Shideko, akiwakaribisha watu waliohudhuria misa hiyo

Mch John Kadyolo akifungua misa kwa maombi
 Wanafamilia
 Richard Mollel akisoma somo la kwanza
Janice Manse akisoma somo la pili
 Joseph Maro akisoma historia ya marehemu Gren Judica Moshi
 Julius Manase, akiongoza utaratibu wa ibada
Mchungaji Ferdnand Shideko akihubiri
 Wachungaji wakiombea familia
 Watoto wa Marehemu, Donald na James Moshi wakifuatilia Ibada
Wachungaji wakiongoza maombi kwa wanafamilia
 Andrew Mushi akitoa shukrani kwa niaba ya familia

No comments:

Powered by Blogger.