LIVE STREAM ADS

Header Ads

WAFANYAKAZI NCHINI WAHIMIZWA KUTIMIZA KWA VITENDO DHANA YA "HAPA KAZI TU".

Wafanyakazi wa Sekta mbalimbali nchini ikiwemo Sekta ya Madini, wamehimizwa kutimiza kwa Vitendo dhana ya "Hapa Kazi Tu" kwa vitendo, hatua ambayo itasaidia ukuaji wa maendeleo katika jamii.
Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG
Ushauri huou ulitolewa jana na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ambae pia ni Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mwajuma Nyiruka, katika warsha ya kubadilishana uzoefu wa kazi kati ya Wafanyakazi wa Nishati na Madini nchini, NUMET pamoja na Kampuni ya Uwekezaji katika Sekta ya Mafuta na Gesi ya Statoil yenye makao yake makuu nchini Noryay iliyofanyika Jijini Mwanza.

Nae Katibu Mkuu NUMET Nicomedes Kajungu aliishauri Serikali kusimamia mazingira bora ya ajira za wafanyakazi wa Migodini kwa kuwa bado kuna sheria zenye mapungufu ambazo husababisha haki za waajiriwa kunyonywa na waajiri wao.
Washiriki wa warsha ya kubadilishana uzoefu wa kazi kati ya Wafanyakazi wa Nishati na Madini nchini, NUMET pamoja na Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Statoil yenye makao yake makuu nchini Noryay, wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi (Wa nne Kushoto).
Warsha ya kubadilishana uzoefu wa kazi kati ya Wafanyakazi wa Nishati na Madini nchini, NUMET pamoja na Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Statoil yenye makao yake makuu nchini Noryay 
Warsha ya kubadilishana uzoefu wa kazi kati ya Wafanyakazi wa Nishati na Madini nchini, NUMET pamoja na Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Statoil yenye makao yake makuu nchini Noryay 
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ambae pia ni Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mwajuma Nyiruka
Katibu Mkuu NUMET, Nicomedes Kajungu
Kushoto ni Mwenyekiti wa NUMET Albert Machumu akiwa pamoja na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ambae pia ni Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mwajuma Nyiruka
Elise Gruner kutoka Statoil
Mmoja wa washiriki kutoka Kampuni ya Uwekezaji katika Sekta ya Mafuta na Statoil
Washiriki wa Warsha
Washiriki wa Semina
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ambae pia ni Mkuu wa Wilaya ya Misungwi Mwajuma Nyiruka akizungumza na Wanahabari
Katibu Mkuu NUMET Nicomedes Kajungu
Mwenyekiti wa NUMET Albert Machumu akiongeza na wanahabari
Warsha ya kubadilishana uzoefu wa kazi kati ya Wafanyakazi wa Nishati na Madini nchini, NUMET pamoja na Kampuni ya Uwekezaji katika Sekta ya Mafuta na Gesi ya Statoil yenye makao yake makuu nchini Noryay iliyofanyika jana Jijini Mwanza.

No comments:

Powered by Blogger.