LIVE STREAM ADS

Header Ads

SHUKRANI KUTOKA KWA KAMATI YA HARUSI YA MARIAM BARAKA DANIEL BINAGI WA TARIME MKOANI MARA.

Bibi Harusi Mtarajiwa Mariam Baraka Daniel Binagi (Kulia) akiwa na Kaka yake Mwanalibeneke George Binagi-GB Pazzo (Kulia).
Kamati ya Harusi ya bibi harusi mtarajiwa Mariam Baraka Daniel Binagi inayofuraha kuwashukuru wale wote wanaoendelea kujitolea michango yao ya hali na mali katika kufanikisha sherehe ya harusi hiyo.

Sendoff inatarajiwa kufanyika kesho Jumanne Desemba 29,2015 na ndoa inatarajiwa kufungwa kesho kutwa Jumatano katika Kanisa Anglikana lililopo Buhemba Tarime, Mkoa wa Mara.

Bibi harusi mtarajiwa Mariam Baraka Daniel Binagi Mkazi wa Rebu Tarime, anatarajia kufunga ndoa na bwana harusi mtarajiwa Mwl.Godfrey Godwin Kihengu mkazi wa Nyansurura Tarime, Mara.

No comments:

Powered by Blogger.