LIVE STREAM ADS

Header Ads

HAPA NDIPO UTAMU WA JEMBEKA FESTIVAL 2016 JIJINI MWANZA UNAPOANZIA.

Jumamosi, May 21,2016 itakuwa ni Jembeka Festival Msimu wa Pili. Utamu wa Jembeka Festival unaanzia kwa Mkali Neyo kutoka nchini Marekani pamoja na Mkali Diamond Platnumz kutoka Tanzania. Pia watakuwepo wasanii wengine kibao. 

Kumbuka ni katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kwa kiingilio cha Shilingi 10,000, 50,000 na 100,000 so anza kujichanga mapema mwana wa kwetu.

Imedhaminiwa na Vodacom Tanzania! Vodacom Kazi ni Kwako. Special Thanks FastJet, EF Outdoor, Ndege Insurance, Syscorp Corporation, KK Security, JembeFm-JembeniJembe, Gsengo Blog, Binagi Blog na wadau wengine.
Nunua Tiketi yako mapema www.jembenijembe.com

No comments:

Powered by Blogger.