LIVE STREAM ADS

Header Ads

HAPPY BIRTH DAY 102.5 LAKE FM MWANZA.

102.5 Lake Fm, Raha Ya Rock City; Ni Kituo chako Bora cha Habari na Burudani Kitakacho kuburudisha na Kukuhabarisha Mwananzengo wa Mkoa wa Mwanza na baada ya muda Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa.
102.5 Lake Fm, Raha ya Wananzengo imezaliwa hii leo Jumatatu (imeanza kurusha Rasmi Matangazo yake) Machi 14,2016 na hii itakuwa ni Redio ya Wananzengo wa Kanda ya Ziwa.
Happy Birth Day #102.5LakeFm #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo.
Zaidi tembelea Instagram, Facebook na Twitter @lakefmmwanza.

No comments:

Powered by Blogger.