LIVE STREAM ADS

Header Ads

BINAGI BLOG-BMG INAKULETEA "BMG MEET AND GREET LIVE" ITAKAYOFANYIKA JIJINI MWANZA.

KUTANA NA MARAFIKI ZAKO WA MTANDAONI LIVE BILA CHENGA. NI KATIKA "BMG MEET AND GREET LIVE" ITAKAYOFANYIKA JUMAMOSI IJAYO APRIL 09,2016 RIVER SIDE HOTEL KILOLELI JIJINI MWANZA KUANZIA SAA NANE MCHANA NA KUENDELEA!

Wapendwa Wasomaji wa Binagi Blog-BMG, imeandaliwa event ya kuwakutanisha wadau wote ili kufahamiana kwa wasiofahamiana na kusalimiana live kwa wanaofahamiana. 

Mchango kwa kila mshiriki ni shilingi 10,000 tu na utakunywa, kula na kucheza pamoja na Marafiki zako wa mitandaoni kama vile whatsupp, Instagram, facebook pamoja na Binagi Blog-BMG.

NI WAKATI WAKO SASA KUKUTANA NA KUSALIMIANA NA MARAFIKI ZAKO LIVE. 
Zaidi piga simu nambari +255 (0) 757432694 au binagimediagroup@gmail.com

No comments:

Powered by Blogger.