LIVE STREAM ADS

Header Ads

KAIMU KATIBU MKUU UVCCM TAIFA APOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI MANYARA.

Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka akivikwa skafu mara baada ya kupokelewa jana kwa shangwe na wananchi pamoja na viongozi wa CCM na Jumuiya zake Mkoani Manyara. 
Shaka yuko Mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi iliyolena kukijenga na kuiimarisha chama.
Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akiongozana na wana CCM kuelekea katika shughuri za kusaidia ujenzi wa Shule ya MATUFWA ilioko Wilaya ya Babati Vijijini Mkaoni Manyara.
Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akishirikiana na  Wananchi katika shughuli ya usombaji matofali katika Shule ya Matufwa Wilaya ya Babati Vijijini

Kikundi cha Ngoma Msanja Magugu Kikitoa burudani katika Mkutano wa Hadhara.
Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Shaka HAMDU Shaka akisimikwa na Mzee wa kimila na kukabidhiwa Fimbo kama Ishara ya kumlinda na kumuongoza awapo katika Mkoa wa Manyara.
Baadhi ya Wanachama Wapya wa jumuiya ya UVCCM Wakila kiapo cha jumuiya mara baada ya Kukabidhiwa kadi za kujiunga na uanachama

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Manyara (mwenye inasa sauti) akimkaribisha Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka  kuzungumza na Wananchi wa kata ya Magugu katika kijiji cha Matufwa
Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika Mkutano wa Hadhara ulio fanyika katika kijiji cha Matufwe.
Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika Mkutano wa Hadhara ulio fanyika katika kijiji cha Matufwe.
Mama akimsikiliza kwa umakini mkubwa, Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka
Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka baada ya kumaliza Mkutano akielekea ofisi ya CCM Mkoa Wa Manyara na upokelewa na Katibu Wa CCM Mkoani humo.
Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Shaka H Shaka akionyeshwa baadhi ya Maeneo yalio ungua katika jengo hilo

Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Taifa,Shaka Hamdu Shaka akizindua shina la wakereketwa wa CCM katika wilaya ya Hanang kata ya Endasaka Mkoani Manyara.
Katibu Wa Wilaya ya Hanang akizungumza katika Mkutano wa Hadhara Ulio fanyika kata ya Endasaki
Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka akihutubia Wananchi wa Wilaya Ya Hanang, Kata ya Endasaki Mkoani Manyara.

Mkazi wa Hanang akimsikiliza kwa umakini, Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka katika mkutano wa hadhara uliofanyika Wilayani humo.
Picha Fahad Siraji.

No comments:

Powered by Blogger.