MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI 2016, KUFANYIKA KITAIFA MKOANI MWANZA.
Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Kitaifa, yanatarajia kufanyika Mkoani Mwanza Kitaifa.
Mgeni rasmi anatarajia kuwa Jaji Mkuu Mhe.Othman Chande Othman. Maadhimisho hayo yatafanyika May 02 hadi 03 Malaika Hotel. Shukrani kwa wadau wote.
No comments: