LIVE STREAM ADS

Header Ads

NGOMA ZA BMG: WIMBO WA YOUNG TANZANIA-NAJUTA, UNAWAFAA SANA WAPENDANAO.

Ukimsikiliza kwa Umakini, Utabaini kwamba jamaa anajua kuimba. Anaitwa Young Tanzania (Young Taiz) kutoka Jijini Mwanza. 
Ngoma za BMG, leo inakusogezea ngoma iitwayo Najuta. Inawafaa sana Wapendanao kutokana na kuimbwa kwa hisia na kujaa mashairi yanayoaksi uhalisia katika mahusiano.
Bonyeza HAPA Kupakua Ngoma Hiyo.

No comments:

Powered by Blogger.