UBOVU WA MBIUNDOMBINU YA BARABARA, KERO KUBWA KWA WAKAZI WA MANISPAA YA ILEMELA.
Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Tawi la Pasiansi Mashariki B, Kata ya Kawekamo wakiwa katika mkutano na Mwenyekiti wa CCM katika Kata hiyo uliofanyika jumamosi April 9,2016.
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Mkoani
Mwanza, imetakiwa kutatua kero ya ubovu wa miundombinu ya barabara ambayo kwa
muda mrefu imekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa Manispaa hiyo.
Bonyeza HAPA Kusikiliza Ripoti Kamili, Au Play Hapa Chini
Bonyeza HAPA Kusikiliza Ripoti Kamili, Au Play Hapa Chini
No comments: