LIVE STREAM ADS

Header Ads

UZURI NA UBAYA WA MAKAZI YA WATU KATIKA MILIMANI, JIJINI MWANZA.

Makazi ya Watu katika Kata ya Kawekamo Manisipaa ya Ilemela Jijini Mwanza. 

Milima iliyopo Jijini Mwanza kwa sasa ni makazi ya watu na huduma mbalimbali za kijamii kama vile maji na umeme zimefikishwa katika maeneo hayo jambo ambalo linatoa ugumu watu kuhama katika maeneo hayo kutokana na baadhi ya nyumba kuangukiwa na maporomoko ya mawe.

Pia katika makazi hayo kuna changamoto ya ujenzi wa vyoo bora ambapo wengi wao hutupa na kutiririsha ovyo taka zao. 

Mbali na changamoto hizo, makazi haya huleta mvuto wa pekee hususani nyakati za usiku taa zikiwaka na hivyo kulipamba Jiji la Mwanza.
Hili ni eneo la Kabuhoro, Kirumba Jijini Mwanza, nako hali ni ile ile, ambapo hukuu ni hatari zaidi kutokana na kuwa karibu na ziwa.
Picha na BMG.

No comments:

Powered by Blogger.