LIVE STREAM ADS

Header Ads

AFRIKA KITAKITA YA CITY FM INAKULETEA SHOW KALI NDANI YA CHECK INN PUB JIJINI MWANZA.

Mtangazaji wa Kipindi cha Muziki wa Kiafrika cha "Afrika Kitakita" kinachoruka hewani kupitia City Fm Mwanza, Maridhia Ngemela akizungumza na BMG kuhusiana na show itakayopigwa kesho Mei 15,2016 ndani ya Check Inn Pub, Big Bite Kilimahewa Jijini Mwanza.

Maridhia ambae pia ni mratibu wa Show hiyo, amesema band mbalimbali za muziki wa dansi ikiwemo African Artists Academy chini yake Nzimba Kangoringori kwa udhamini mkubwa wa TBL, watatoa burudani kali kwa wanazi wa muziki wa dansi Jijini Mwanza huku kiingilio kikiwa shilingi 3,000 tu.
Na:BMG

Usikose kesho Mey 15,2016 kuanzia saa 12 jioni ndani ya Check Inn Pub Kilimahewa Jijini Mwanza.

No comments:

Powered by Blogger.