LIVE STREAM ADS

Header Ads

BMG GOSPEL: MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI NCHINI "ELLYSHER WA UPENDO" AACHIA WIMBO MPYA.

Anaitwa Ellysher Wa Upendo ambae ni mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania.
Mwenyezi Mungu amemtunuku utumishi wa uimbaji ikiwemo uimbaji wa nyimbo za Sifa na kuabudu. Msikilize katika wimbo wake mpya uitwao Nakupa Sifa.
Bonyeza HAPA Kusikiliza Au Bonyeza Play Hapo Chini.

No comments:

Powered by Blogger.