LIVE STREAM ADS

Header Ads

LORI LAPIGA MWELEKA MAGU MKOANI MWANZA.

Lori likiwa limekula mweleka hii leo katika eneo la Lugeye, Kona ya Kayenze Wilaya ya Magu mkoani Mwanza baada ya dereva kushindwa kulimudu kutokana na mwendo kasi.
Mwendo Kasi Unaua, Endesha kwa Ustarabu.

No comments:

Powered by Blogger.