LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAKUNDI HASIMU YA NGOMA ZA KISUKUMA KUCHUANA VIKALI KATIKA TAMASHA LA BULABO 2016.

Tunategemea kuyaona makundi hasimu katika kucheza ngoma za asili za Kisukuma (Bagika na Bagalu) katika Tamasha la Wasukuma la Bulabo 2016.

Mhifadhi wa Kituo cha Utamaduni Bujora kilichopo Magu mkoani Mwanza, Richard Raphael Buluma (pichani) ameiambia 102.5 ‪#‎LakeFm‬ Mwanza kuwa tamasha hilo linatarajia kufanyika June 19 hadi June 26 mwaka huu katika Uwanja wa mpira Kisesa uliopo wilayani Magu. #LakeFm ‪#‎RahaYaRockCity‬ ‪#‎RadioYaWananzengo‬ ‪#‎Mwanza‬Kumbuka ushabiki wa Bagika na Bagalu katika ngoma za asili ni sawa na ushabiki wa Simba na Yanga katika soka hapa nchini.
Mhifadhi wa Kituo cha Utamaduni Bujora kilichopo Magu mkoani Mwanza, Richard Raphael Buluma 
Mhifadhi wa Kituo cha Utamaduni Bujora kilichopo Magu mkoani Mwanza, Richard Raphael Buluma 

No comments:

Powered by Blogger.