LIVE STREAM ADS

Header Ads

NGOMA ZA BMG: MDUARA MPYA KUTOKA KWA MWANADADA "LADY KWILEGA-DEREVA KIPANYA" NI NOMA.

Anaitwa Lady Kwilega, Mwanadada anaejua thamani ya mduara kutoka Jijini Mwanza.
 Jukwaani huyu dada ni balaa na katika uimbaji ni hatari tupu hivyo msikilize katika wimbo wake mpya uitwayo DEREVA KIPANYA utajua balaa la huyu dada katika mduara.
Bonyeza HAPA Kusikiliza Au Bonyeza Play Hapo Chini.

No comments:

Powered by Blogger.