LIVE STREAM ADS

Header Ads

TUMSAIDIE DADA BERNADETHA MSIGWA KUTOKA CHUO KIKUU CHA MZUMBE ILI AWEZE KUONA TENA.

Dada Bernadetha Msigwa ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Mkoani Morogoro akisomea masuala ya Usimamizi wa Rasilimali (Human Resource Management). 

Alianza masomo yake ya chuo kikuu mwaka 2011 lakini mwaka 2014 akiwa mwaka wa mwisho alianza kusumbuliwa na tatizo la macho ambalo lilipelekea kupata tatizo la kutoona kabisa na hivyo kushindwa kuhitimu digrii yake ya kwanza. 

Anahitaji msaada wako wa hali na mali ikizingatiwa kwamba anatoka katika familia isiyo na uwezo wa kumgharimia matibabu ili aweze kuonana na wataalamu wa macho kwa ajili ya kutibiwa na hatimae aweze kutimiza ndoto aliyonayo ya kuhitimu masomo yake katika ngazi ya digrii.
Help Bernadetha to See the Beuty of today
M-Pesa 0766 56 38 54
Tigo Pesa 0656 73 14 87

No comments:

Powered by Blogger.