LIVE STREAM ADS

Header Ads

ROCK MAGIC KATIKA SELFIE LA KIBABE NA 102.5 LAKE FM MWANZA.

Anaitwa Rock Magic, mdau wa muziki kutoka Jijini Mwanza, akiwa katika Selfie la Kibabe na bango la 102.5 Lake Fm Mwanza ambayo ni redio mpya inayokiki hivi sasa Mwanza japo bado iko katika matangazo ya majaribio.

Follow Instagram, Twitter & Facebook @lakefmmwanza. 
Kumbuka 102.5 LAKE FM Mwanza inapatikana popote ulipo duniani. Download Application ya ZUNINGA upate Raha.
Bonyeza https://play.google.com/store/apps/details?id=com.zanteltv kupata Application ya Zuninga ili ufurahie ujio wa 102.5 Lake Fm, Raha ya Rock City, Radio ya Wananzengo.

No comments:

Powered by Blogger.