LIVE STREAM ADS

Header Ads

USIKU WA BWANA MUSSA MALONGO NA MISS ELIZABETH MASHALLAH WAFANA JIJINI MWANZA.

Jana usiku Mei 15,2016, ulikuwa usiku wenye Furaha kubwa kwa Bwana MUSSA JOHN MALONGO Mkazi wa Kiseke, Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza pamoja na Miss ELIZABETH MASHALLAH, baada ya kufunga pingu za maisha.

Ndoa ilifungwa jana mchana katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya, kwa Mchungaji, Dtk.Daniel Kulola, kabla hafla kuhamia katika ukumbi wa Maendeleo House, Iloganzala, kama ambavyo picha inaonyesha wakati maharusi wakiingia Ukumbini.

Maharusi wakiingia Ukumbini kwa madaha
Maharusi wakiwa Ukumbini, wakijiandaa kukata keki
Maharusi wakilishana keki ikiwa ni ishala ya upendo wa dhati
Maharusi wakinyweshana Shampeni
Wapambe wa Maharusi nao wakinyweshana Shampeni
Ngugu, jamaa na marafiki wakiwapongeza maharusi huku wakigonga cheers
Ngugu, jamaa na marafiki wakiwapongeza maharusi huku wakigonga cheers
Maharusi pamoja na wapambe wao
Maharusi wakichukua chakula
Mchungaji wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya, Dkt.Daniel Kulola akiomba kwa ajili ya sherehe na maharusi.
Ndugu, jamaa na Marafiki wakiwa katika sherehe ya bwana Mussa John Malongo pamoja na Miss Elizabeth Mashallah.
BMG Inawatakia Maisha Mema!

No comments:

Powered by Blogger.