CCM KUHITIMISHA KAMPENI ZAKE KITAIFA JIJINI MWANZA
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuhitimisha kampeni zake za Uchaguzi Mkuu siku ya Jumanne Oktoba 28, 2025, katika mkutano wa hadhara utakaofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Akizungumza Jumapili Oktoba 26, 2025 na wanahabari , Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Omary Mtuwa amewahimiza wanachama wa chama hicho pamoja na wananchi kujitokeza kwa wingi mapema kwenye mkutano huo.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi

No comments: