BMG KIDEONI: MERCY MASIKA-MWEMA
Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
BMG Kideoni inakusogeza karibu na Mercy Masika ambae ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya. Anao Ujumbe mzuri kwa ajili yako kupitia wimbo wake uitwao Mwema. Hakika usijizuie kuusema Wema wa Bwana maana amekutendea Mema.
No comments: