LIVE STREAM ADS

Header Ads

SALAMU ZA BMG: HAPPY BIRTH DAY SISIMIZI MWENYE KILO ZA TEMBO MANENGO.

June 11 miaka kadhaa iliyopita, Msanii wa HipHop kutoka Jijini Mwanza, Young Rafa maarufu kwa jina la Manengo #Sisimizi_Mwenye_Kilo_Za_Tembo alizaliwa.

Akiwa anafurahia siku hii muhimu kwake, BMG inapenda kumtakia Kheri ya Kuzaliwa kwake na Mola azidi kumuongoza vyema ili aiburudishe na kuielimisha jamii kupitia karama yake katika muziki.
Happy Birth Day Manengo_Happy Birth Day Wadau Wote wa BMG Waliozaliwa June 11.
Bonyeza HAPA Kumsikia Manengo

No comments:

Powered by Blogger.