LIVE STREAM ADS

Header Ads

BMG GOSPEL: SIKILIZA KWA MAKINI WIMBO MPYA WA ELISHA WA UPENDO-UMENIPA KIBALI.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Bonyeza HAPA Kusikiliza na Kupakua Wimbo Mpya wa Mwimbaji wa Muziki wa Injili nchini Tanzania, Elisha Waupendo. Wimbo Unaitwa Umenipa Kibali. 

Pia waweza kuusikiliza ama kuupakua moja kwa moja hapa chini. Tafadhali sikiliza kwa umakini wimbo huo na utakuwa wa tofauti moyoni mwako.
Na BMG

No comments:

Powered by Blogger.