LIVE STREAM ADS

Header Ads

BMG KITAANI: KUTANA NA STAA WA MTAA MWENYE NDOTO ZA KUWA STAA WA KIMATAIFA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

BMG Kitaani leo inakukutanisha na kijana Biela Alex kutoka Mtaa wa Mji Mwema Mkudi, Kata ya Isamilo Jijini Mwanza. Anasema yeye ni staa wa mtaa wao na ndoto yake kubwa kwa sasa ni kuwa staa mkubwa wa muziki na maigizo kimataifa zaidi.

Hadi sasa hajui namna ya kutimiza ndoto yake hiyo. BMG inakukutanisha nae ili umpe ushauri namna ya kufanya ili awe staa katika sanaa.
Bonyeza HAPA Kusikiliza. Au Bonyeza Play Hapa Chini.

No comments:

Powered by Blogger.