LIVE STREAM ADS

Header Ads

WATOTO WANAHITAJI KUSIKILIZWA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Ripota wa BMG, Fred Jackson kutoka Igoma Jijini Mwanza, akibonga na wanafunzi wakielezea hisia zao.

Watoto wanahitaji kusikilizwa Maoni yao. Furaha na Chukizo ni miongoni mwa mambo unayopaswa kuwaruhusu watoto wakueleze.

Usisahau kuhusu ndoto zao. Waache wakueleze wanataka kufanya nini ama kazi gani wakiwa wakubwa. Itakusaidia wewe mzazi/ mlezi kutambua uwezo wao na kuwaongoza vyema katika kuyafikia mafanikio yao maisha. 

Mzazi/mlezi, usimfanye mtoto akuogope. Mfanye aakuheshimu. Mlee mtoto katika nidhamu ya kweli na si ya kuigiza. Mpe mtoto nafasi ya kukueleza jambo lolote kwa uwazi na uhuru.

No comments:

Powered by Blogger.