LIVE STREAM ADS

Header Ads

KAMPUNI YA BIMA YA RESOLUTION YAWAFUTURISHA WATEJA PAMOJA NA WAFANYAKAZI WAKE.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Mkurugenzi Mkaazi wa Kampuni ya Resolution Insurance Ltd, Oscar Osir, akipata iftar pamoja na Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Musa Bin Salum, katika iftar kwa ajili ya wateja na wafanyakazi wake iliyoandaliwa na kampuni ya Resolution Insurance LTD jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mkaazi wa Kampuni ya Resolution Insurance Ltd Oscar Osir akiongea na wadau mbalimbali(hawapo pichani) kwa ajili ya kuwashukura kwa kuja katika iftar iliyoandaliwa na kampuni ya Resolution Insurance LTD jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam Sheikh Alhadi Musa Bin Salum akiongea na wadau mbalimbali(hawapo pichani) kwa ajili ya kuwakumbusha mambo mema katika mwezi mtukufu wa Ramadhan katika iftar iliyoandaliwa na kampuni ya Resolution Insurance LTD jijini Dar es Salaam.
Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam Sheikh Alhadi Musa Bin Salum 
Wafanyakizi wa Resolution Insurance
Wateja wa kampuni ya Resolution Insurance wakipata iftar
Wadau mbali mbali wakipata iftar
Wadau mbali mbali wakipata iftar
Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam Sheikh Alhadi Musa Bin Salum akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkaazi wa Kampuni ya Resolution Insurance Ltd na Mwenyeketi wa Bodi ya Wakurugenzi Bi.Zuhura Muro

No comments:

Powered by Blogger.