LIVE STREAM ADS

Header Ads

MC KATUMBA ANOGESHA SENDOFF YA MISS JANE JULIUS NDANI YA ROCK CITY MALL JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Pichani ni Bibi Harusi Mtarajiwa, Miss Jane Julius mkazi wa Ghana Jijini Mwanza, wakati akiingia Ukumbini katika Sendoff yake inayofanyika katika viunga vya Ukumbi wa Rock City Mall Jijini Mwanza.

Sherehe imenoga kweli kweli huku mshereheshaji maarufu Jijini Mwanza, Mc Katumba (tazama picha chini), akinogesha zaidi Sherehe hiyo huku akisaidiana na Mc Magoma.
Miss Jane Julius, anatarajiwa kufunga ndoa na Bwana Manase John, Agost 13,2016 katika Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.
Na BMG
Mc Katumba (kushoto) ambae amenogesha Sendoff ya Miss Jane Julius, akimkaribisha bibi harusi mtarajiwa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Sendoff (kushoto), akitoa mkasi kumkabidhi bibi harusi msaidizi ili kukata utepe kuashiria ufunguzi wa Sendoff.
Bibi harusi mtarajiwa, Miss Jane Julius, akikata utepe ishara ya ufunguzi wa Sendoff
Bibi harusi mtarajiwa, Miss Jane Julius, akikata utepe ishara ya ufunguzi wa Sendoff
Bibi harusi mtarajiwa (kushoto) na msaidizi wake (kulia) wakiingia ukumbini
Bibi harusi akiingia ukumbini na brighters wake
Wasaa wa kukata keki
Bibi harusi mtarajiwa akiwakabidhi keki wazazi wake wa kumzaa
Bibi harusi mtarajiwa akiwakabishi keki wazazi wake upande wa bwana harusi mtarajiwa
Wasaa wa kufungua shampaini
Bibi harusi mtarajiwa yuko vizuri katika kufungua shampaini
Mc Katumba (kulia), na Mc Magoma (kushoto) wakiendelea kunogesha Sendoff ya Miss Jane Julius.
Cheers
Wazazi wakigonga Cheers
Ekotiteeee.....Ekotiteeee....Ekotiteeeee
Wageni waalikwa wakifurahia Sendoff ya Miss Jane
Mc Katumba, full kunogesha Sendoff ya Miss Jane Julius.
Brighters wako vizuri pia
Bibi harusi mtarajiwa, Miss Jane Julius (kulia), akiwatambulisha ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria Sendoff yake. Kushoto ni best lady wake.
Bibi harusi mtarajiwa, Miss Jane Julius (kulia), pamoja na best lady wake (kulia), wakifurahia jambo
Wageni waalikwa
Wazazi wa maharusi watarajiwa
Wageni waalikwa
Matukio yananaswa kama kawaida
Shughuli ya kunasa matukio si mchezo, endelea kuwa nasi ili tuendelee kukujuza.

No comments:

Powered by Blogger.