LIVE STREAM ADS

Header Ads

MSUBI BINAGI KUIBUKA NA KIPINDI KIPYA CHA RUNINGA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Inyake hii kutoka kwa coming up Star Actor/ Video King na Presenter, Msubi Binagi. Usikose kumfuatilia kupitia akaunti yake ya Instagram @msubi_binagi ili upate updates kuhusu kipindi chake kipya cha runinga cha "Jua la Utosi" kitakachoanza kuonekana online na baadae katika runinga ambayo utatangaziwa. Pia utafahamu kuhusu filamu yake mpya itakayotoka hivi karibuni akiwa na timu yake.

No comments:

Powered by Blogger.