LIVE STREAM ADS

Header Ads

ABUU MKALI ARUDI KWA MWENDO KASI NA ANNA MARIA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Yule Mzee wa "Asela", Abuu Mkali amedondosha kigongo kingine kiitwacho "Anna Sophia". Ni ngoma tamu na kali ambayo imetengenezwa katika studio za Studio Mega Town Records Jijini Mwanza chini ya mikono ya producer J Monster. Karibu kusikiliza na kupakua kigongo hicho HAPA au bonyeza Play hapo chini 

No comments:

Powered by Blogger.