LIVE STREAM ADS

Header Ads

+AUDIO: MAHOJIANO NA MJASIRIAMALI NA MWANAHARAKATI DIANA GASPER.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Katika huyu na yule wiki hii, tumezungumza Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Kinyago Travels and Tours na Stuka Tanzania Diana Gasper, ambaye pamoja na mambo mengine, amezungumzia historia yake, ya kampuni zake na harakati nzima za biashara na harakati za kuikomboa jamii ya Tanzania.
Unaweza kutembelea tovuti yao http://kinyagotravel.com/ ama kupitia Instagram @diana_gasper ama @kinyagotravel ama @stukatanzania

No comments:

Powered by Blogger.