LIVE STREAM ADS

Header Ads

BMG INAKUTAKIA MAISHA MEMA MWANANZENGO WA 102.5 LAKE FM, EIZER BITZ KATIKA SIKU YAKO YA KUZALIWA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com


Agost 28, Miaka kadhaa iliyopita, alizaliwa kijana mtanashati, mwenye ufahamu na uelewa wa hali ya juu katika uzalishaji na uhariri wa sauti, picha mnato na picha mjongeo, EIZER BITZ (kulia) ambaye kwa sasa ni mzalishaji wa vipindi (Producer) 102.5 Lake Fm Mwanza, Raha ya Rock City #RedioYaWananzengo.
BMG inakutakia Maisha Mema, Eizer Bitz
Tazama HAPA Picha za Nzengoni.

No comments:

Powered by Blogger.