LIVE STREAM ADS

Header Ads

EVERY DAY, WIMBO MPYA ULIOWAKUSANYA MASTAA KUTOKA KANDA YA ZIWA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com
Everyday ni wimbo uliofanywa na wasanii wa hiphop wanaofanya game ya mwanza na Tanzania kwa ujumla. 

Wasanii hao ni mabalozi wa mikoa tofauti tofauti kutoka Kanda ya Ziwa ambao wako Jijini Mwanza kwa mishe za muziki hususani industry nzima ya muziki wa hiphop Tanzania. 

Humo ndani yumo, Jeff Untouchable (First Stanza), Coyo MC (Second stanza), S.Miah Genius (third stanza) Sacho Mc (last stanza).

Pia wimbo umepambwa kwa melody nzuri kutoka kwa
Csir Madini kutoka Mwanza na Beka Title kutoka Dar.
Bonyeza HAPA Kupakua na Kusikiliza. Au Bonyeza Play hapo chini.
Na BMG

No comments:

Powered by Blogger.