LIVE STREAM ADS

Header Ads

ILIVYOKUWA KWENYE SHOW YA KWANZA YA MSIMU WA BURUDANI TANZANIA WA TIGO FIESTA 2016 JIJINI MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Usiku wa jana jumamosi Agost 20,2016 kuamkia leo jumapili Agost 21,2016, imepigwa show kali na ya kwanza katika msimu wa burudani Tanzania, Tigo Fiesta 2016, kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Na BMG
Star WizKid kutoka Nigeria alipiga show kali kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2016
Wizkid alipiga show LIVE kabisa
StarBoy WizKid
Wananzengo
Mzee wa Hainaga Ushemeji, Man Fongo
Man Fongo on interview
Ali Kiba alipanda jukwaani kama "Suprise" akimsindikiza Baraka da Prince, show yake ilitikisa balaa
Chin Bees (L) on Interview with Vesterjtz (R) from BMG.
One love
VIP Lounge
Media team
Media team
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Tigo Fiesta 2016, Sebastian Maganga (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa 102.5 Lake Fm Mwanza, Doreen Noni (katikati) na msanii wa bongofleva, Aika (kulia).
Tazama HAPA Kutazama Press Conference na WizKid

No comments:

Powered by Blogger.