LIVE STREAM ADS

Header Ads

MWONEKANO WA DARAJA LA WATEMBEA KWA MIGUU LA FURAHISHA JIJINI MWANZA BAADA YA UJENZI WAKE KUKAMILIKA MWAKA HUU.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com


Agost 11,2016 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.John Pombe Joseph Magufuli, aliweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa daraja la watembea kwa miguu la Furahisha Jijini Mwanza (Tazama Hapa).

Aliagiza ujenzi wa daraja hilo ambalo linajengwa na Kampuni ya kizalendo ya Nyanza Road Works ya Jijini Mwanza, kukamilika ifikapo mwezi disemba mwaka huu.

Baada ya daraja hilo kukamilika, litakuwa na mwonekano wa samaki (tazama picha) kama ishara ya upatikanaji wa samaki kwa wingi jijini Mwanza na hivyo kuongeza kivutio kingine katika hilo.
Tazama Picha zaidi HAPA

No comments:

Powered by Blogger.