LIVE STREAM ADS

Header Ads

PICHA ZA BIRTH DAY PARTY YA DR.TONNY, MTANGAZAJI WA METRO FM MWANZA.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Jana Agost 12, 2016 Alphonce Tonny Kapela-Dr.Tonny (aliyesimama) ambaye ni Mtangazaji/Mhariri/Mkuu wa Vipindi na Maudhui wa redio Metro Fm ya Jijini Mwanza, alikuwa akisherehekea miaka kadhaa ya kuzaliwa.

BMG ilishuhudia tafrija fupi ya kumpongeza Dr.Tonny iliyofanyika katika Ukumbi wa Mwanza Point-VIP Lounge Jijini Mwanza na kuhudhuriwa na marafiki pamoja na wafanyakazi wenzake kama picha zinavyoonekana.

"Tupafanye ofisini kuwa pahali salama na pa kufurahia. Ofisini siyo pahala pa kukufanya uchukie maisha yako. Tufanye kazi kwa bidii". Alisema Dr.Tonny huku akimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumjaalia kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Bonyeza HAPA Kwa Maelezo Zaidi.

No comments:

Powered by Blogger.