LIVE STREAM ADS

Header Ads

+Audio: Mahojiano na Innocent Galinoma kwenye kipindi cha Reggae Time ndani ya Pride Fm ya mkoani Mtwara.

Ikiwa Una Habari, Tukio, Picha, Maoni au Tangazo, Wasiliana Na BMG Kwa Nambari za Simu 0757 432694 Au Email binagimediagroup@gmail.com

Karibu katika kipindi cha REGGAE TIME ya Pride Fm Mtwara 
Tanzania, kilichoruka jana jumamosi Sepemba 17, 2016. 

Atasikika nguli wa muziki wa Reggae Tanzania, Innocent Galinoma, ambaye alikuwa mkarimu sana kufika Kilimanjaro Studios nchini Marekani ambapo kipindi hiki huandaliwa, kwa ajili ya mahojiano.

Ni kuanzia saa tisa kamili alasiri kwa saa za Afrika Mashariki, mbili kamili kwa Marekani Mashariki. Jiunge nasi kupitia 87.8 Fm kwa mikoa ya kusini, ama www.878pridefm.com ama kupitia TuneIn, bofya tun.in/seTTx.

No comments:

Powered by Blogger.